Cuf ya upande wa Maalim Seif yawageukia waandishi wa habari

Chama cha wananchi Cuf upande unaomuunga mkono katibu mkuu Wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad imewataka waandishi Wa habari kuripoti Kwa umakini habari zinazohusu mahakama
Kwa mujibu Wa taarifa iliyotumwa na kurugenzi ya habari na mahusiano ya umma ya chama hicho a Kwa vyomba vya habar imesema kumekuwapo upotoshaji Wa taarifa kutoka baadhi ya vyomba vya habari juu ya mashauri ya chama hicho yanayoendelea mahakamani
"Tunawaomba tena kwa mara nyingine waandishi wa habari kuripoti habari za Lima Yakama kwa usahihi na kutumia weledi ili kuepushao kuwachanganya wanachama  na wadau mbalimbali. Tusitoe taarifa za mahakama kwa njia ya upotoshaji."
Kwa mujibu Wa taarofa hiyo imewataka wananchama Wa Cuf kupuuza taarifa za propaganda zinazotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii.
"Hakuna fedha ya Ruzuku itakayotolewa mpaka shauri hili litakapofanyiwa maamuzi vinginevyo. Kwa sababu Amri ya Mahakama kuzuia Ruzuku haijatenguliwa. AMRI YA ZUIO iko palepale."

No comments