Hicho ndicho alichoandaa Tundaman sherehe ya Simba Day Jnne.

Mkali Wa bongo fleva Tundaman anatalajia kuachia wimbo mpya siku ya simba day, wimbo ambao ni maalum Kwa mashabiki Wa klabu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na klabu ya simba inamtaja msani huo kuwa ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika sherehe hizo huko wengjne akiwa snura na bendi ya twanga pepeta zinazotalajia kufanyika tatehe nane mwezi huu jijini dar es salaam
"Taarifa fupi iliyotolewa na klabu hiyo inasema tundaman kuachia wimbo mpya Kwa ajili ya mashabiki Wa simba"

No comments