Huu ndio uamzi wa mahakama dhidi kesi iliyofunguliwa na bodi ya wadhamini wa klabu ya simba

Mahakama ya Haki mkazi kisutu imetupilia mbaya maombi ya bodi ya wadhamini Wa klabu ya simba la kutaka kuzia kufanyika Kwa mkutano mkuu Wa klabu hiyo uliopangwa kufanyika agosti 13 mwaka huu.
Hakimu mkazi Wa mahakama ya kisutu amesema haitakuwa busara kuzuia mkutano kwani agenda za mkutano azijaonyesha kama kuna agenda ya mabadiliko ya kimfumo kama bodi ya wadhamini inavyodamiko
"Sio busara kuzuia mkutano kwani kunabaadhi ya wanachama wameshatoka mikoani kuja kuhudhulia mkutano huo"

No comments