Uongozi mpya wa TFF rais na wajumbe wake hii hapa

Wales karia achaguliwa kuwa rais mpya  Wa shirikisho la soko tanzania (TFF) huku Michael wambura akichaguliwa kuwa makamu Wa rais
Wales Kaira amechaguliwa Kwa kura 95 huku akiwaacha mbali wapinzani wake walipata ally mayai kura 9 ,shija Richard 9, Imani madega 8, fredick mwakalibela 3,huko Emanuel kimbe akipata kura 1.
Aidha wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe Wa kamati ya utendaji Wa TFF  katika mkutano huo kuwa ni Sarah chao ( arusha na manyara) ,lamek nyangaya (dar es salaam) ,Khalid mohamed (Kilimanjaro na tanga) ,Francis ndulane (pwani na morogoro) ,mohamed adeo (Dodoma na singida) ,dustan ditopile (Lindi na Mtwara) ,James mhagama ( njombe na Ruvuma)
Wengine ni Elias mwanjla ( mbeya na iringa) ,Kenneth pesambili (rukwa na katavi) ,Isa Mrisho (kigoma na tabora) ,mbasha matutu (shinyanga na simiyu),vedastu lufano (Mara Na mwanza) na Saluma cham ( Geita na kagera)

No comments