Wakati dirisha la usajili likitalajia kufungwa usiku huu Sjngida United yafanya usajili wa mchezaji huyu kutoka Simba

Wakati muda ukikimbia kufungwa Kwa dirisha la usajili Wa ligi kuu Tanzania bara klabu ya singida united imefanikiwa kumsajili peter manyika junior.
Singida united imeingia mkataba Wa miaka miwili na peter manyika akiwa anatokea klabu ya simba.
KWA VIDEO SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL 


MBONDATZ TV

No comments