Yanga yaanzisha Tawi lake Mtimbira kwa ushindi mnono

Hatimaye klabu ya yanga ya jijini dar es salaam imeanzisha tawi lake katika Kata ya mtimbira wilaya malinyi mkoa morogoro.

Uzjnduzi wa tawi hilo ulifanyika sikukuu ya nane nane nakufuatiwa na mchezo Wa kirafiki kati ya Yanga B na muungano Wa wachezaji Wa Kata hiyo mchezo uliochezwa katika uwanja Wa shule ya mandachini.
Katika mchezo huo Yanga B ilifanikiwa kuwavunga muungano Wa wachezaji Wa mtimbira Kwa jumla ya magoli 4-0.

No comments